Ibraah - Sawa (Official Music Video)
Sawa is a song written, and perfromed by new sensational Tanzanian artiste Ibraah from Konde Music Worldwide Record Label. It has been produced by hitmaker Bonga while visuals are by Hanscana and a cameo appearance by Konde Gang Boss, Harmonize. It’s Bonga (Oh nah nah nah nah nah aah) Asante Mungu Baba uliye mwema Nimeiona siku nyingine ya furaha Hali sio haba sio njema Wa kuniponya nipate hata chembe ya furaha Maana wazazi wananitegemea Na ninakaribia mi kuitwa Baba Nami ndunguzo waloegemea Sina kitu nimechalala nimevava Uniepushe mabaya dunia Yasijenikumba Napiga goti kwa uchungu nalia Ni nusuru muumba Katu nisikate tamaa Niende kusaka tonge Nipate ama nishinde njaa Moyoni upige konde, ni sawa eh! Ni sawa, ni sawa Nami nitafika (Ata nikikosa sawa) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa) Sawa, ni sawa Nami nitafika (Mwanadamu hawezi panga) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga) Natapa tapa elimu sina Mi kusoma sijasoma Nami nasaka nijenge heshima #Ibraah #Sawa #KondeGang Mi nakoma ju wananichoma Ni wewe pekee ndo naye jua Ah mbele yangu na nyuma yangu Mie mpweke naomba dua Ah Baba fungua ridhiki zangu Nashukuru Baba, pumzi unayonipa Maisha naendelea Ila kingine Baba, nadhalilika Huu mzigo unanielemea Baba niwewe Baba (Ni wewe) Niwe ndo msaada (Ni wewe) Ni wewe, ni wewe Baba ni wewe Uniepushe mabaya dunia Yasijenikumba Napiga goti kwa uchungu nalia Ni nusuru muumba Katu sikate tamaa Niende kusaka tonge Nipate ama nishinde njaa Moyoni upige konde Ni sawa, ni sawa Nami nitafika (Ata nikikosa sawa) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa) Sawa, ni sawa Nami nitafika (Mwanadamu hawezi panga) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga) Download and Stream on all Digital Platforms Link https://song.link/HPzrBcfGjg6RR Written by Ibraah Produced by Bonga Directed by Hanscana ©2020 KONDE MUSIC WORLDWIDE Connect with Ibraah on https://www.instagram.com/ibraah_tz/ https://twitter.com/ibraah_tz https://www.facebook.c
Année
2020
Durée
3m
IMDb
7.6
Hero Poster
Vous aimerez aussi
Jay Melody - Siyawezi (Official Video)
Jay Melody - Wa Peke Yangu (Official Video)
Jay Melody - Baridi (Official Video)
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
Jah Prayzah - Donhodzo (Official Music Video)
Roseline Layo - Môgô Fariman (Vidéo Officielle)
Salif Keita - M'Bemba
TOOFAN - C'EST PAS NORMAL [Clip Officiel]
BURNA BOY SONGS/MIX/PLAYLIST 2023
Omah Lay Greatest Hits Full Album 2022 Omah Lay Music Songs Collection 2022
BEST OF REMA JOE BOY FIREBOY DML & OMAY LAY + OXLADE MIX 2021 BY @DJNORE LATEST SONGS (NEW & OLD)
BEST AMAPIANO MIX 2024
Harmonize - Ujana (Official Music Video)
Harmonize - Wote (Official Music Video)
Alikiba feat Marioo - Sumu (Official Music Video)
D Voice - Zoba (Official Music Video)
Jay Melody - Forever (Official Music Lyrics)
Roma - Zimbabwe [Official Music VIdeo]
Marioo feat Harmonize - Away (Official Music Video)
Mbosso - Amepotea (Official Music Video)
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
Zuchu - Antenna (Official Music Video)
D Voice feat Zuchu - Nani (Official Music Video)
Mbosso - Ova (Official Music Video)
Suggestions mises en avant
Envie de plus de divertissement ? Découvrez notre plateforme de jeux recommandée et notre destination de mini-dramas.


