Exploring Tamaa, Being Curious with Ubongo Kids! | Swahili Verses | Ubongo Kids
Jamani, unafanyaje ukipata mtihani wa maisha? Usikate tamaa, kuwa mstahimilivu! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
Year
2017
Duration
2m
IMDb
0
Hero Poster
You Might Also Like
Primary 6 English
SS 3 English
Primary 4 English
Primary 3 English
JS 2 English
English Advanced C1
Year 1 | English Lessons
Year5 English
Tricky English Grammar
Presentations: Speaking so that People Listen
ACTION 2
Learn To Read with Ms Rachel
Pry6 English
SSS11 English
Pry5 English
Baby Learning with Ms Rachel - Videos for Babies
Grade 4 English
JSS8 English
JSS9 English
Grade 4 English Spelling Words
Academic Discussions in English
Learning for children
English for Effective Business Writing
Class 1 English Grammar
Featured Picks
Looking for more entertainment? Explore our recommended gaming hub and short-drama destination.


