Jux - Zaidi (Official Music Video)
Zaidi (which means 'more' in Swahili) by Jux is about a love story between two love birds that love each other and try to remind themselves that they deserve more love. The video shows Jux in love with a low class woman. He is trying to find her in the streets where he first saw her, he believes that she is the one who will give him more love. Jux is trying to remind us that we all deserve to love and to be loved unconditionally. Follow Jux Facebook: https://www.facebook.com/Juma-Jux-553669638105675/fref=ts Instagram: https://www.instagram.com/juma_jux/ Twitter: https://twitter.com/africanboyjux Digital distribution: http://www.africori.com/ Lyrics: Its bob manecky Intro: Nana nana naaana Nana nana naaana Nana nana naaana Nana nanaaa Verse: Zinanitoka goose bums, Nikisikia jina lako Mi ninaweukaa Kabisa mi ni chizi wako Na kama ni mganga eeeh Mzuri huyo mganga wako Sio kwa kunipumbaza huku Baby, Mmhh Mamy ongeza ubuyu Nizidi kuumung’unya eeeh Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eeeh Baby ongeza ubuyu Nizidi kuumung’unya eeeh Tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh (mhmh) Pre-Chorus: Kama ni pili pili maa (na na na na) Acha ukali niusikie (na na na na) Kama nivita mamaa (na na na na) Acha adui wanivamie (na na na na) Kama we ni asali maa (na na na na) Acha na nyuki wanivamie (na na na na) Lakini penzi lako baby (na na na na) Ata kidogo lisipungue (na na na na) No no nooooo Chorus: Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh) Nipe nipe Zaidi zaidi Zaidiii (mhmhh) Wewe zaidi zaidiii zaidiii Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii) Bridge: Haya yaya yaaah yaaah... Haya yaya haya yaya yaaaah... Verse: Nanyosha mikoni juu Kwako mi nimesurrender Naona maajabu Sungura kazidiwa ujanja Nimekuwa zuzu zuzu zuuu Nimekuwa bubu bubu buuu Nimekuwa mbumbu mbuu baby eh Nimekuwa zaidi ya nyumbu Sioni sisikiii... (aaah) Sioni sisikii ... Baeby Pre-Chorus: Kama ni pili pili maa (na na na na) Acha ukali niusikie (na na na na) Kama nivita mamaa (na na na na) Acha adui wanivamie (na na na na) Kama we ni asali maa (na na na na) Acha na nyuki
سال
2018
دورانیہ
3m
IMDb
7.6
Hero Poster
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
Jay Melody - Siyawezi (Official Video)
Jay Melody - Wa Peke Yangu (Official Video)
Jay Melody - Baridi (Official Video)
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
Jux - Utaniua (Official Music Video)
Rayvanny X Baba Levo - Ngongingo (Official Video)
Harmonize Ft Anjella - All Night (Official Music Video)
L'Oiseau Rare - NIAMATOS ( Official Video )
OMAH LAY SONGS 2023- best
Best Sex
GOSPEL MUSIC 2023 ✝ BEST GOSPEL MIX : Sinach, Cece Winans , Tasha Cobbs
UB40 Greatest Hits - Best Songs of UB40 - HIT REGGAE
Jah Prayzah - Eriya
K.O - SETE (Official Music Video) ft. Young Stunna, Blxckie
Mduduzi Ncube - Angsakhoni [Official Music Video]
Nathi - Noba Ngumama [with Lyrics]
Harmonize - Nitaubeba (Official Video)
Harmonize - Dunia (Official Music Video)
Jay Melody - Mbali Nawe (Official Music)
Alikiba - Mahaba (Official Lyric Video)
Jux Ft Diamond Platnumz - Enjoy (Official Video)
Marioo & Harmonize - Naogopa (Official Music Video)
Zuchu - Napambana (Official Music Video)
Jay Melody - Forever (Official Music Lyrics)
Featured Picks
مزید entertainment چاہتے ہیں؟ ہمارے recommended gaming hub اور short-drama destination کو explore کریں۔


