Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video)
Tunamshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyotenda maishani Mwetu. Baraka na matendo yake yametuletea furaha na nguvu nyakati zote, hata nyakati za shida. Kama asemavyo Mwandishi wa Zaburi, "BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi." (Zaburi 126:3). 🗯️🗯️🗯️🗯️ Kupitia wimbo huu wa PERMANENT tunaweza kuona ndani yake kuna: 📌Shukurani ya KiMungu (Divine Gratitude): Shukurani kwa matendo makuu ambayo Mungu ameyafanya katika maisha yetu. 📌Imani na Ujasiri (Faith and Confidence): Ujasiri na uhakika katika uwepo na msaada wa Mungu katika maisha yetu. 📌Ulinzi na Uwakili (Protection and Advocacy): Mungu anaelezwa kama mlinzi na mwakilishi ambaye huhakikisha usalama wetu na kupigania haki zetu. 📌Kudumu kwa Baraka (Permanent Blessings): Dhana ya agano la kudumu la baraka za Mungu inasisitizwa, ikionesha uhusiano usiovunjika na endelevu kati yetu na Mungu. 📌Kutokuwepo kwa Hofu (Absence of Fear): Hakikisho kutoka kwa Mungu husababisha kutokuwepo kwa hofu na taharuki katika maisha yetu. Songwriter & Composer: Samuel Limbu & Fredrick Japhet Masanja Leader: David Kusekwa, Mariam Protace & Esther Isaac Kilago —— VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam. 𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧: 𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson 𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred 𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production 𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound 𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen 𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy 𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy) 𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights 𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred 𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundam
سال
2024
دورانیہ
7m
IMDb
7.5
Hero Poster
کاسٹ
Neema Gospel Choir
Singer
کاسٹ
Neema Gospel Choir
Singer
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
Best Songs Of Westlife Westlife Greatest Hits Playlist 2022
Lil Wayne - Mirror ft. Bruno Mars (Official Music Video)
Blue Lagoon 3. The Awakening ( La Isla Bonita - Super Mix - Madonna )
Mlazi Gangster
Chris Brown - Don't Judge Me
Brandy - Have You Ever (Official Video)
Taylor Swift - The Fate of Ophelia (Lyrics)
Beyoncé - Drunk in Love (Explicit) ft. JAY Z
Westlife - My Love (Lyrics)
Kizz Daniel - Black Girl Magic (Official Lyric Video)
mafikizolo
LDR - Shoti, Angels Like You,... OPM Acoustic Songs Playlist
Beyonce Billboard Awards Performance 2011
Miley Cyrus - Younger You (From the "Hannah Montana 20th Anniversary Special")
T-Pain - Best Love Song ft. Chris Brown
ZAYN - Sideways
Risk It All
LADY GAGA - ABRACADABRA (LIVE AT THE 2026 GRAMMYS)
Katy Perry - The One That Got Away (Sub. Español + Lyrics)
Lana del Rey - Cinnamon Girl (Lyrics)
Charlie Puth - Home (feat. Hikaru Utada)
The Script - The Man Who Can't Be Moved (Lyrics)
Alex Warren - FEVER DREAM (Official Video)
sombr - back to friends (Lyrics)
Featured Picks
مزید entertainment چاہتے ہیں؟ ہمارے recommended gaming hub اور short-drama destination کو explore کریں۔


